BROSIS SCHOOL - INTEGRATED COMMUNITY-BASED ORG
First Step Breaking Through Beyond The Slum
+254 (0)721 982 794
BROSIS SCHOOL IS NO LONGER IN OPERATION since January 2019.
BROSIS SCHOOL was supported and operated by LovingAct.org from October 2017 till January 2019.
BROSIS PS/LP Teacher
Karibu katika shule ya Brosis
​
Mimi ni mwalimu ambaye amekuwa tangu jadi nina furaha sana kuwa katika shule hii ambayo ni nzuri sana.
​
Tumebarikiwa na wanafunzi wengi ambao wana moyo wa kusoma na kuwa viongozi bora katika taifa na mataifa ya kigeni.Vilevile walimu wetu wako na tajriba ya juu katika masomo yao ambayo inawawezesha kusaidia wanafunzi katika masomo yao na kuwapa moyo kwamba wasife moyo kwani wao ndio viongozi wa kesho iwapo watatia fora katika masomo na kupita mitihani yao.
Lengo letu kuu katika shule ni kuhakikisha kwamba tunawakuza wanafunzi ambao watakuwa wa msaada kwa maisha ya usoni.Kama vile tumekuwa na wanafunzi bora na ndivyo tutakapohakikisha kuwa wanafunzi wananufaika katika masomo yao.
​
Ninapomalizia ningependa kumshukuru Mola wetu kwa kutupa pumzi bure pia sitasahau kuwashukuru wale wote ambao wametuunga mkono kwa kutunufaisha masoma ya watoto wetu kuwa bora na pia kuwakaribisha wote ambao wana moyo wa kusaidia kuungana nasi kwa minajili ya kuboresha maisha ya watoto wetu.
​
Ahsanteni sana Mungu awabariki sana.
​
​
Aswan Mackson
Kiswahili/Hisabati
JLKJLU Brosis/Ngando Community
+254 (0)703 292 059